Estimated read time 2 min read
CELEBRITIES DUNIANI SOCIAL POSTS

MR NICE, A MAN OF MANY FIRSTS

0 comments

BONGO Flava kama majira, uvumbuzi na uasisi ni asubuhi, jua la utosi lilipowadia, vipaji kibwena vili-disturb mitaa. Wakati huo sasa, pini “Friday Night” lilipikwa Mawingu Studio kwa Papa Boniluv. Mgomo fulani hivi, Friday Night ikawa haisikiki redioni. Story ya nyimbo kutupwa kapuni. Legend John Dilinga Matlou “DJ JD”, kwa uthubutu wa kucheza ngoma zilizokataliwa, pini…