Category: HABARI
Makachero wanasa heroini, dawa zingine katika operesheni Pwani
Polisi wamenasa aina kadhaa za dawa za kulevya katika operesheni huko Pwani. Kulingana na taarifa ya Kurugenzi ya Uchunguzi wa Makosa ya Jinai, dawa za [more…]
Wajumbe Wa Serikali Wafanya Kongamano La Vijana Taveta
Naibu Waziri Shadrack Mwadime na wajumbe kutoka Serikali za Kitaifa na Kaunti walifanya Kongamano la Vijana la Taita Taveta 2024 katika Kaunti Ndogo ya Taveta.Mkutano [more…]
Wakenya Watakiwa Kuepuka Nyama ya Kichakani Juu ya Ugonjwa Wa Mpox
Huku maafisa wa afya wakihaha kudhibiti mlipuko wa hivi majuzi wa Mpox nchini Kenya, serikali imetoa onyo kali dhidi ya utunzaji na ulaji wa nyama [more…]
HANA MWANGA TENA! MWANGAZA WA GAVANA MWANGAZA WAZIMIA
Hatimaye kitumbua cha gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza kimeingia mchanga baada ya bunge la seneta kuhidhinisha madai ya kaunti ya kumtimua ofisini. Haya [more…]
Kilifi : Bibilia ya Lugha ya Chonyi yazinduliwa
Shirika la Kutafsiri Biblia na Kusoma na Kuandika (BTL) limezindua Biblia ya Agano Jipya ya lugha ya Chonyi katika Eneo Bunge la Kilifi Kusini, na [more…]
Mary Moraa anyakua medali ya shaba katika mbio za mita 800
Mary Moraa ambaye alikuwa Mkenya pekee katika fainali ya mita 800 kwa wanawake aliibuka wa tatu na kunyakua medali ya shaba katika Olimpiki ya Paris [more…]