Category: MICHEZO
Wasiwasi Wa Man City Kukosa Ligi Ya Mabingwa Msimu Ujao
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola anasema klabu hiyo iko katika hatari ya kukosa nafasi ya kushiriki katika Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao. City [more…]
ARSENAL : Saka Kukosa Wiki Kadhaa Kutokana Na Jeraha
Klabu ya Arsenal imepata Pigo Kubwa baada Bukayo Saka kutarajiwa kuwa nje kwa wiki kadhaa akijiuguza jeraha lake la Misuli ya Paja alilolipata kwenye Mchezo [more…]
Klabu ya Bayern Munich imetangaza kuipumzisha Jezi Namba #5
Klabu ya Bayern Munich iliamua kumuenzi gwiji wake na mchezaji wake wa kihistoria, Franz Beckenbauer, kwa namna ya pekee. Klabu hiyo imechukua uamuzi wa kutompa [more…]
Yanga Yapokea Kichapo Dhidi Ya MC Alger
Yanga inapoteza mechi ya pili mfululizo ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kupokea kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya MC Alger. FT : MC [more…]
CAF Yaonesha Mashaka Ya Viwanja Vya Kenya Kutumika Kwa Michuano Ya CHAN
Wakaguzi wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) wameonesha mashaka kuhusu utayari wa viwanja vya Kenya vya Kasarani na Nyayo kutumika kwa michuano ya CHAN [more…]
Guinea yaomboleza mashabiki 56 waliokufa katika vurumai za penalti, kadi nyekundu
PENALTI tata na kadi mbili nyekundu zilizotolewa na refa zilisababisha vifo 56 kufuatia vurumai zilizozuka wakati wa mechi kati ya Labe na wenyeji Nzerekore, nchini [more…]