Category: MICHEZO
Masaibu ya Pepe Man City Yaendelea
BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu ya Kandanda Uingereza (Epl) Manchester City wamejikuta katika hali ambayo hawajazoea miaka ya hivi karibuni. Mechi ya Jumanne ya Kipute [more…]
Wasiwasi kuhusu viwanja maafisa wa CAF wakianza ziara Jumatano
Wasiwasi umejaa Kenya kuwa huenda ikapoteza nafasi ya kuandaa michuano ya CHAN mwaka ujao kutokana na uzembe wa ujenzi kwenye viwanja vilivyopendekezwa kwa mechi hizo [more…]
Tanzania Morocco imepangwa Kundi C pamoja na mabingwa watetezi
TIMU ya Taifa ya Soka ya Tanzania – Taifa Stars, imelifanya taifa zima la Tanzania kujivunia kufuzu kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika [more…]
Ronaldo Nazario De Lima Kugombea uraisi katika shirikisho la mpira wa miguu nchini humo CBF.
Lejendari wa soka nchini Brazil Ronaldo Nazario De Lima ameweka wazi rasmi kuwa atagombea uraisi katika shirikisho la mpira wa miguu nchini humo CBF. De [more…]
Taifa Stars Yapoteza Mechi ya Kufuzu CHAN 2025 Dhidi ya Sudan
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ya Wachezaji wa ndani imepoteza mchezo wa kuwania kufuzu CHAN 2025 kwa changamoto ya mikwaju ya penati 5-6 [more…]
Lamine Yamal Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi.
Staa wa FC Barcelona na Timu ya Taifa ya Hispania Lamine Yamal ameshinda tuzo ya Mchezaji bora Chipukizi (Kopa Trophy) Lamine (17) ameweka rekodi kadhaa [more…]