Category: SWAHILI NEWS
Klabu ya Bayern Munich imetangaza kuipumzisha Jezi Namba #5
Klabu ya Bayern Munich iliamua kumuenzi gwiji wake na mchezaji wake wa kihistoria, Franz Beckenbauer, kwa namna ya pekee. Klabu hiyo imechukua uamuzi wa kutompa [more…]
Yanga Yapokea Kichapo Dhidi Ya MC Alger
Yanga inapoteza mechi ya pili mfululizo ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kupokea kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya MC Alger. FT : MC [more…]
Sherehe mjini Damascus huku wapinzani wa Syria wakitangaza kumalizika kwa utawala wa Bashar al-Assad.
Aliyekuwa Rais wa Syria, Bashar al-Assad ameng’olewa madarakani usiku wa kuamkia leo Jumapili, Desemba 8, 2024, baada ya waasi kuingia katika mji wa Damascus. Taarifa [more…]
CAF Yaonesha Mashaka Ya Viwanja Vya Kenya Kutumika Kwa Michuano Ya CHAN
Wakaguzi wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) wameonesha mashaka kuhusu utayari wa viwanja vya Kenya vya Kasarani na Nyayo kutumika kwa michuano ya CHAN [more…]
Hazeeki Huyu Mengi. Miss Tanzania 2000
Katika picha ni Miss Tanzania 2000, Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi, licha ya kutwaa taji hilo miaka 24 iliyopita bado anavutia. Utakumbuka pia aliwahi kufanya muziki akifahamika [more…]
Wundanyi : Eneo La Paranga Kufaidi Mradi Wa Umeme
Rais William Ruto hapo jana alizindua Mradi wa Usambazaji Umeme wa REREC Paranga huko Wundanyi, Kaunti ya Taita Taveta. Mpango huu ni sehemu ya juhudi [more…]