Estimated read time 2 min read
POLITICS PWANI SIASA

“Raundi Hii Siongei Na Mtu” Viongozi Wa ODM Wa Pwani Wamwidhinisha Joho Kuwa Rais 2027

Aliyekuwa Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho amesema hatamsikiliza yeyote anayemshauri kusitiza azma yake ya urais. Joho alisema kuna wanachama wenzake wa chama cha ODM ambao wamekuwa wakimshauri kuenda pole pole katika mipango yake ya kujaribu kuwania uraisi kwa mara ya kwanza. “Kuna watu katika ODM, ambao wananipigia simu wakisema naenda kasi na kwamba niende…

Estimated read time 1 min read
SIASA TAITA

Raila Aikosoa Serikali Ya Ruto Kuhusu Kufukuzwa Kwa Watu 3,000 Mjini Voi.

0 comments

Kinara wa Azimio Raila Odinga ameikosoa serikali kuhusu kufurushwa kwa watu 3,000 kutoka eneo la Msambweni kaunti ya Taita Taveta iliyotokea mapema Jumamosi asubuhi. Takriban wakaazi 3000 wa Msambweni eneo bunge la Voi wamekumbana na ubomoaji ambao umewaacha wakilia kwa maumivu makali na kukata tamaa. Huku akimsuta Rais William Ruto kuhusu kile alichokitaja kuwa kufurushwa…