Category: PWANI
Wabunge wa Pwani wanadai haki kwa mzee aliyeuawa na afisa wa KWS
KUNDI la Wabunge wa Pwani (CPG) limeitaka Wizara ya Utalii na Wanyamapori kuharakisha uundaji wa korido ya malisho katika Kijiji cha Yakaliche, Jimbo la Garsen, [more…]
Polisi Wawakamata Waandamanaji wa Mombasa Huku Maandamano ya Kupinga Utekaji nyara Yakiendelea
Polisi wameripotiwa kuwakamata waandamanaji kadhaa waliojiunga na maandamano ya kupinga utekaji nyara mjini Mombasa nchini Kenya. Huku maandamano yakianza katika maeneo kadhaa ya nchi baada [more…]
President William Ruto attends the Kilifi International Investment Conference at Vipingo Ridge.
President William Ruto is expected to officially open the three-day Kilifi County Investment Conference. The event highlights Kilifi’s vast investment potential in sectors such as [more…]
Kaunti ya Kilifi yazindua sera ya kukomesha Unyanyasaji wa Kijinsia
Kaunti ya Kilifi imezindua rasmi Sera ya Kupambana na Unyanyasaji wa Kijinsia (2024-2028), mfumo mpana uliobuniwa kushughulikia na kukomesha unyanyasaji wa kijinsia (GBV). Sera inaangazia [more…]
Mwangala Atawazwa Mwenyekiti Wa Baraza La Wachonyi
Raphael Mwangala atawazwa mwenyekiti wa baraza la wazee la Wachonyi katika sherehe iliyohudhuriwa na Gavana Mung’aro na Naibu wake Flora Mbetsa Chibule.
Makachero wanasa heroini, dawa zingine katika operesheni Pwani
Polisi wamenasa aina kadhaa za dawa za kulevya katika operesheni huko Pwani. Kulingana na taarifa ya Kurugenzi ya Uchunguzi wa Makosa ya Jinai, dawa za [more…]