Estimated read time 1 min read
HABARI KILIFI

Serikali Ya Kaunti Ya Kilifi Yasambaza Mbegu Za Mahindi Na Mbolea Kwa Wakulima

Uongozi wa kaunti ya Kilifi ikiongozwa na Gavana Mung’aro imezindua rasmi mpango wa usambazaji wa mbegu za mahindi tani 66 na mbolea bila malipo, zikiwalenga wakulima zaidi ya 11,000 kaunti hiyo. Pembejeo zitasambazwa katika Wadi zote 35 na zimegharimu serikali ya kaunti hiyo kima cha shilingi milioni 100. Lengo ni kusaidia wakulima kuzalisha chakula cha…

Estimated read time 1 min read
HABARI KILIFI

Viongozi wa Kilifi Watishia Kuharamisha Miraa Kufuatia Hatua Ya Serikali Kupiga Marufuku ‘Mnazi’

Viongozi wa kaunti ya Kilifi wametishia kupiga marufuku Muguka, kufuatia marufuku ya hivi majuzi ya unywaji wa mvinyo unaojulikana kama ‘mnazi’ katika eneo hilo. Wakizungumza katika eneo la Jaribuni katika Kaunti Ndogo ya Kauma mnamo Ijumaa, Machi 15, viongozi hao waliikashifu serikali kwa kukiita kinywaji hicho kuwa haramu katika msako wa hivi majuzi wa uvamizi…

Estimated read time 2 min read
HABARI KILIFI

Tulipe Marupurupu Ya Maisha Magumu, Walimu Wa Chonyi, Kilifi Walalama

0 comments

Walimu katika Kaunti Ndogo ya Chonyi, Kaunti ya Kilifi wameomba Bunge la Kitaifa kuingilia kati na kuitaka Tume ya Kuajiri Walimu (TSC) kuwalipa marupurupu ya maisha magumu. Katika ombi lililowasilishwa kwa niaba yao na Mbunge wa Kilifi Kusini Ken Chonga, walimu hao waliomba kuwa Bunge kupitia Kamati ya Malalamiko ya Umma, lishirikiane na TSC ili…