Category: LAMU
Serikali yasambaza vyandarua ili kukabiliana na malaria Lamu
Serikali ya kitaifa kupitia Wizara ya Afya imezindua usambazaji mkubwa wa Vyandarua vya Kudumu kwa Muda Mrefu katika kaunti ya Lamu katika jitihada za kukabiliana [more…]
Kamishna wa kaunti ya Lamu Louis Ronoh amefariki
Kamishna wa kaunti ya Lamu Louis Kipngetich Ronoh amefariki. Kifo chake kilitangazwa na Maafisa wa Kitaifa wa Utawala wa Serikali (NGAOs) katika taarifa Alhamisi jioni. “Jioni ya leo, tunajipata katika hali ya huzuni tunapomkumbuka Louis Kipngetich Ronoh, Kamishna wa Kaunti ya Lamu, ambaye ameondoka kwa huzuni kufuatia kuugua kwa muda mfupi.” Taarifa hiyo ilisema Ronoh…
KeNHA : Garsen-Witu -Lamu Road Remains Closed
The Kenya National Highways Authority (KeNHA) has maintained that the Garsen-Witu -Lamu (A7) Road remains closed due to flooding. KeNHA through a message posted on X noted that to assist pedestrians in crossing, the Kenya Coast Guard has provided a boat. “Pedestrians are now between the two points, Gamba and Lango la Simba,” the roads…