Category: MOMBASA
Man Arrested With Suspected Heroin Worth Ksh500K, Ksh1.8M Cash
Police in Mombasa apprehended a suspected drug dealer in the Kisauni area on Saturday, April 13. In a statement, NPS revealed that the arrest followed a joint intelligence-led operation conducted on Friday night, April 12 night by DCI Anti Narcotics teams and their Coast Region counterparts, atΒ the home of the suspect inΒ Magongo, Kisauni Sub-county. The…
Cruise Liner MS Ambience Docks At The Port Of Mombasa Carrying 1,700 Passengers
The Port of Mombasa has welcomed MS Ambience cruise vessel from the United Kingdom on its inaugural voyage to the coastal shores. The ship sailed to the Port of Mombasa early morning from Victoria port in Seychelles carrying 1700 passengers of different nationalities who will spend two days in our coastal town. The ceremonial welcome…
WAKAAZI WA WADI 30 KAUNTI YA MOMBASA KUFAIDI VYANDARUA ZA MBU
Ili kuimarisha vita dhidi ya kuenea kwa Malaria, gavana wa Mombasa Nasir akiwa na afisa WA kutoka kwa KEMSA, Andrew Mulwa, walizinduaΒ shehena ya vyandarua 932,000 vilivyopokelewa kutoka kwa KEMSA.Vyandarua hivyo vitasambazwa katika wadi zote 30 kaunti nzima pamoja na vituo vyote vya afya vya kaunti kuhakikisha ulinzi wa kutosha dhidi ya kuenea kwa Malaria.
Mshukiwa Wa Ulanguzi Wa Dawa Za Kulevya Yusuf Ahmed Swaleh Almaarufu, Candy Rain, Amepatikana Amefariki Siku Chache Baada Ya Kutekwa Nyara
Mshukiwa wa dawa za kulevya Yusuf Ahmed Swaleh almaarufu Candy Rain alipatikana Jumapili akiwa amefariki katika eneo la Vipingo, Kaunti ya Kilifi. Polisi walisema alipatikana amefariki Jumapili, Machi 17 mjini Kilifi siku chache baada ya kutekwa nyara na watu wasiojulikana. Anasemekana kurithi himaya ya mihadarati ya Akasha huko Pwani. Kulingana na tarifa ya wakili wake,…
Wagonjwa Wateseka Mombasa Huku Mgomo Wa Madaktari Ukiingia Siku Ya Pili
Madaktari katika kaunti ya Mombasa waliungana na madaktari wengine kote nchini katika mgomo baada ya serikali kukosa kutimiza matakwa yao. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari mjini Mombasa, Chama cha Madaktari Wafamasia na Madaktari wa Meno (KMDU), Katibu Mkuu wa Tawi la Pwani, Ghalib Salim, alisema kuwa hatua hiyo inatokana na mgomo wa nchi…
πππππ πππππππ, ππππ πππππππππ, πππππππππ ππ ππππππ πππ ππππππ CHA BANDARI
David Wanyama, mwenye umri wa miaka 16, amepandishwa cheo kutoka Bandari Youth FC., na kujiunga na kikosi cha kwanza cha timu ya Bandari.