Estimated read time 1 min read
HABARI MOMBASA

Mwanahabari wa Mombasa, Fatma Rajab, Afariki Dunia

0 comments

Mwanahabari wa Mombasa Fatma Rajab, mwenye umri wa miaka 27 amefariki dunia baada ya kuugua. Mwanahabari huyo alikuwa amepelekwa katika chumba cha wagonjwa mahututi cha hospitali ya Coast General Teaching and Referral ICU alikata roho mwendo wa saa sita mchana Jumamosi, siku mbili baada ya juhudi za wanahabari wenzake na MCA wa Kadzanani Fatma Kushe…

Estimated read time 1 min read
HABARI MOMBASA

MAAFISA WA KIJASUSI WAWAKATAI VIJANA WA KUNDI LA UHALIFU MOMBASA.

0 comments

Kufuatia operesheni inayoongozwa na maafisa wa kijasusi katika Kituo Kikuu cha Polisi cha Mombasa, wamefanikiwa kuwakamata watu watano wanaoshukiwa kuwa wanachama wa kundi la uhalifu ambalo limekuwa likiendesha shughuli zake katika eneo la Sargoi na vitongoji vyake. “Kufuatia operesheni iliyoongozwa na kijasusi, timu ya maafisa walio katika Kituo Kikuu cha Polisi cha Mombasa wamewakamata watu…

Estimated read time 1 min read
MOMBASA

Daraja La Mbogolo, Barabara Kuu Ya Mombasa Malindi Lasombwa Na Mafuriko.

0 comments

Barabara kuu ya Mombasa Malindi kwa sasa haipitiki baada ya sehemu ya daraja la Mbogolo kusombwa na mafuriko Jumamosi asubuhi. Barabara hiyo ilikatika kabisa baada ya mafuriko kuharibu barabara ya Malindi Mombasa. Mbunge wa kata ya Mnarani Juma Chengo alimlaumu mkandarasi anayekarabati barabara kuu kwa kuziba njia za maji na kupunguza mkondo wa mto unaozuia…

Estimated read time 1 min read
MOMBASA

Governor Nassir : Flooding in Mombasa not due to drainage

0 comments

Mombasa Governor Abdullswamad Nassir has dismissed reports that the flooding being experienced in parts of the county is due to poor drainage system Speaking on Saturday, Nassir instead raised concern that there are parts of the county where people had constructed their homes on waterways. “I have heard many say it is the drainage; If…

Estimated read time 1 min read
MOMBASA

Mombasa Yashuhudia Mvua Kubwa Ya Mafuriko

0 comments

Mvua kubwa iliyonyesha Alhamisi usiku ilisababisha mafuriko yaliyokumba barabara kuu za Mombasa likiwemo daraja jipya la Makupa. Barabara kuu, ambayo pia inaunganisha Nairobi, iliwaacha wasafiri na chaguo chache huku baadhi ya safari za ndege zikikosekana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Moi na treni ya Standard Gauge Railway (SGR). Kwa madereva wa magari wa…