Category: PWANI
Kaunti ya Kilifi yazindua kampeni ya afya mashinani
Serikali ya Kaunti ya Kilifi imezindua kampeni kali ya kufikia afya ya msingi inayolenga kupeleka huduma za matibabu mashinani. Wataalamu wa fani mbalimbali za matibabu [more…]
Government to Construct The Mombasa Gate Bridge Connecting Mombasa Island and the South Coast.
The National Land Commission (NLC) has earmarked 920 parcels of land for two major infrastructure development projects and consequently reached out to the owners to [more…]
Wakazi wa Mombasa waandamana kupinga Mswada wa Fedha 2024
Machafuko na mapigano yalitanda katika mitaa ya Mombasa siku ya Jumatano huku wakazi wakiandamana barabarani kupinga Mswada wa Fedha wa 2024. Waandamanaji hao walikabiliana na [more…]
Serikali yasambaza vyandarua ili kukabiliana na malaria Lamu
Serikali ya kitaifa kupitia Wizara ya Afya imezindua usambazaji mkubwa wa Vyandarua vya Kudumu kwa Muda Mrefu katika kaunti ya Lamu katika jitihada za kukabiliana [more…]
Gavana wa Mombasa Nassir Aunga Mkono Marekebisho ya Mswada wa Fedha wa 2024
Gavana Abdulswamad Nassir ameelezea kuunga mkono marekebisho yaliyopendekezwa na Kamati ya Idara ya Fedha na Mipango ya Kitaifa kwa vifungu vyenye utata vya Mswada wa [more…]
Mombasa kuendelea kutoza ada ya Sh700 ya kuegesha lori za biashara
Mahakama kuu ya Mombasa imekataa kutoa maagizo ya muda ya kusitisha uamuzi wa serikali ya kaunti ya Mombasa kuongeza ada ya kuegesha magari makubwa na [more…]