Estimated read time 1 min read
HABARI TAVETA

Mtoto Ametelekezwa Katika Kituo Cha Soko Huko Taveta

0 comments

Mapema Alhamisi asubuhi mtoto mchanga alipatikana akiwa ametelekezwa katika kituo cha Soko la Njukini eneo bunge la Taveta. Mtoto huyo wa kike, ambaye umri wake kamili bado haujafahamika alipatikana kwenye mlango wa duka la mboga asubuhi. Kwa mujibu wa taarifa katika kituo cha Polisi cha Chumvini Njukini, tukio hilo liliripotiwa na mfanyabiashara ambaye alimpata mtoto…

Estimated read time 1 min read
TAVETA

Mh. Bwire Kuandaa Mashindano Ya Kwaya Taveta

0 comments

Mbunge wa Taveta Mheshimiwa John Bwire ametangaza Zawadi ya Krismasi Kwa Kwaya zinazofanya Vizuri Kwa Kuwatengea washindi watatu wa Kwanza kitita Cha Shilingi Laki Moja (100K). Mashindano hayo yataanza wiki ijao katika Kila wadi na washindi wawili Kwa kila wadi watachuana siku ya Jamuhuri, Tarehe 12 Decemba, 2023 Kulingana na ratiba ya mashindano hayo:- Jumatatu…