Diamond Platnumz Asema Alilipwa Ksh 129 Milioni Kwa Kutumbuiza Kwenye Harusi Ya Mtoto wa Tajiri Maarufu Mjini Mombasa.

Estimated read time 1 min read

Jana imefanyika harusi ya mtoto wa mfanyabiashara mkubwa huko Kenya anayeitwa Imran Khosla. Walioalikwa ni watu maarufu tu, Diamond Platnumz pamoja na Nandy nao walialikwa. Kwenye Picha ni Rais Ruto pamoja na viongozi wengine wa Kenya. Kwenye comment ni video za magari yaliyoingia kwenye harusi.

Diamond Platinumz alifichua kuwa alilipwa Ksh128 milioni huku Nandy akifichua kuwa alilipwa Ksh45 milioni kwa onyesho la dakika 10 kwenye harusi ya mwana wa Imran Khosla.Diamond Platinumz revealed he was paid Ksh128 millions while Nandy revealed she was paid Ksh45 million for a 10 minute perfomance at the Imran Khosla son’s wedding

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours