Diamond Platnumz yupo kwenye list ya mastaa watakaokiwasha katika tamasha la Afronation Juni 2024 nchini Ureno.
Kwenye list hiyo wapo mastaa kama Nick Minaj wa Marekani, Diamond Platnumz tz, Asake, Rema wa Nigeria. Wengine ni wasanii kutoka Afrika Kusini kama Focalistic, Tyler ICU, Tyla.
Tamasha hili linaanza Juni tarehe hadi Juni 28 Mwaka 2024.
+ There are no comments
Add yours