Gavana wa kaunti ya TaitaTaveta Andrew mwadime aitaka serikali kuu kuongeza mgao wa kaunti zote ili kuwezesha maendeleo katika kaunti.
Kulingana na gavana Mwadime kaunti ya Taita Taveta ni moja kati ya kaunti sita ambazo zinapata mgao mdogo zaidi. Kaunti hio hupata bilioni 5 na bilioni 3.5 hutumika kulipa mishahara wafanyi kazi wa kaunti hio.
Mwadime aliyasema haya katika uwanja wa Moi mjini Voi baada mechi kati ya Gunners na Kingstone kukamilika.
+ There are no comments
Add yours