Gavana Wa TaitaTaveta Granton Samboja Atoroka Chama Cha Wiper Na Kujiunga Na Jubilee

Estimated read time 1 min read

Gavana wa TaitaTaveta County hapo jana aliondoka chama cha Wiper na kujiunga na chama cha Jubilee.

Hapo awali Samboja alionyesha dalili ya kujiunga na chama cha ODM lakini akabadilisha msimamo wake na kujiunga na chama cha Jubilee.

Akiandamana na Mbunge wa Taveta Naomi Shabani na aliyekuwa mwakilishi wa awali wa wanawake Joyce Lay, Samboja alipokelewa na katibu mkuu wa chama cha Jubilee, Jeremiah Kioni

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours