Erling Haland akiwa na miaka 23 pekee Anakuwa mchezaji Wa kwanza wa Manchester City kuwa na Magoli mengi katika historia.
Ni msimu wake wa pili mfululizo akichukua Tuzo ya Mfungaji Bora EPL .
Msimu huu kafunga jumla ya Magoli 27 na asist 5. kahusika kwenye Magoli 32 ndani ya msimu
+ There are no comments
Add yours