Msani Harmonize Amemtaka Msani Mwezake Rayvanny kuja kuchukua Tuzo yake ya #AEAUSA 2023 Ambapo harmonize_tz limchukulia Tuzo hio kwa niaba ya Rayvanny Huku akimtaka afike sehemu zifutazo. Aidhaa afike Airport siku ya Jumatatu au Afike konde village,Tuzo hizo zimetolewa Nchini Marekani na wimbo wa Mama TETEMA umeshinda Tuzo ya Best collaboration of the Year #Maluma ft #rayvanny
Baada ya Harmonize kumchukulia Rayvanny tuzo kutoka USA na kumwambia aifuate Aiport au aifuate Konde Village, Rayvany amesema hana shida na Harmonize ni kama mdogo wake tu.
Rayvany ameongeza kuwa kushinda kwake Tuzo ya Grammy kupitia Album ya Maluma kwenye remix ya #tetema ni Jambo la kumfurahisha sana.
Hii Ni ishara nzuri kwa wawili hao baada ya kuwa na Mizozo ya hapa na pale
+ There are no comments
Add yours