Harmonize amfanya Kajala kuwa CEO na Meneja Wa KondeGang

Estimated read time 1 min read

Msanii Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonize  amefanya marekebisho kwa uongozi wa lebo yake ya muziki ya konde music worldwide ili kumwezesha mpenzi wake Frida Kajala Masanja kushika nafasi ya juu zaidi.

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours