Staa wa Bongofleva Harmonize amechukua uamuzi wa kusogeza mbele show yake aliyopaswa kuifanya siku ya Valentines Februari 14, 2024 huko nchini Sierra Leone.
Harmonize ametaja sababu ya kusogeza mbele show yake kuwa baadhi ya watu kwenye team yake wamekosa Visa akiwemo mpenzi wake Poshy Queen akisema
“SIERRA LEON I WILL NEVER MAKE IT ON 14/2/ SORRY SEE YOU NEXT TIME SOME MEMBERS IN THE GANG MISSED VISA INCLUDING MY GIRL FRIEND AS YOU KNOW ITS VALENTINES VERY SPECIAL DAY!!! NO WAY I CAN FLY WITHOUT HER NEW DATE SOON”
+ There are no comments
Add yours