Usiku wa kuamkia leo harmonize ameshinda tuzo 3 za African Entartainment Awards USA (AEAUSA) ameshinda vipengele vitatu ambavyo ni King of Afro bongo , best video of the year na African artist of the year kupitia wimbo wa single again
Harmonize amewapiku mastaa kibao akiwemo Diamond plutnamz ,Asake,Burna boy,libianca,Eddy kenzo na Tyler.
Hivi Bado kuna mtu ana mashaka na ukubwa wa ngoma ya single again ? i guess not
+ There are no comments
Add yours