Miaka saba baada ya kuachana na mwanamke wa Ubelgiji, Aurelie Bertrand, mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Ivory Coast Emmanuel Eboue ameoa tena.
Nyota huyo wa zamani wa Arsenal mwenye umri wa miaka 41 alipewa talaka na Mke wake Aurelie Bertrand iliomshusha kutoka kwenye Utajiri hadi Umasikini,
Nyota huyo wa zamani wa Arsenal alifunga Ndoa na Mrembo Stephanie Boede siku ya Ijumaa, Agosti 30, 2024, mjini Abidjan.
Alifanya uhusiano wake na mchumba wake wa utoto, Stephanie Boede, mfanyabiashara wa Ivory Coast, rasmi.
+ There are no comments
Add yours