Tume ya IEBC imejiondoa kwa kamati ya kushughulikia uchaguzi mwaka wa 2022 kwa maadai ya kuhujumiwa. IEBC inasema haiwezi endelea kupokea maagizo kutoka kwa kamati hiyo jinsi ya kuendesha uchaguzi mwaka wa 2022.
Kamati hiyo inaongozwa na jaji mkuu Martha Koome, baadhi ya mawaziri ikiwemo Fred Matiangi akiwa mmoja wa wanakati.
Mbeleni chama cha UDA kililalamikia uhusisho wa Martha Koome kwa uchaguzi ujao ikisema Jaji mkuu hataweza kutoa uamuzi wa usawa endapo kesi ya uchaguzi itafikishwa mbele yake mwaka wa 2022.
+ There are no comments
Add yours