Jadon Sancho ndiye mchezaji wa kwanza wa Man United kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa tangu 2011

Estimated read time 1 min read

Jadon Sancho ndiye mchezaji pekee wa Premier League katika fainali za Ligi ya Mabingwa

Winga wa Manchester United Jadon Sancho amekuwa mchezaji wa kwanza anaemilikiwa na klabu ya Manchester United kutinga fainali ya michuano ya UEFA Champions League tangu mwaka 2011 ambapo klabu hiyo ilifika fainali ya mashindano hayo licha ya kupoteza dhidi ya FC Barcelona .

Nje ya Sancho hakuna Mchezaji yoyote wa klabu hiyo ambae hata nusu fainali ya mashindano hayo alishawahi fika tangu kizazi Cha 2011 kilipopita.

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours