Raisi William Ruto amchagua, Janet Mwawasi Oben, kuwa balozi wa kijali Rwanda katika mabadiliko ya serikali yalifanyika.
Wateule hao watahojiwa Bungeni, na baada ya kuidhinishwana, watateuliwa rasmi na Rais Ruto.
Mabalozi wapya 31 walioteuliwa ni wafuatao;
1. Amb. Tabu Irina -Dublin, Ireland
2. Amb. Willy Bett – Beijing, China
3. Jane Wairimu Ndurumo -Pretoria, South Africa
4. Amb. George Morara Orina – Addis Ababa, Ethiopia
5. Col. Rtd. Shem Amadi – Kinshasa, Democratic Republic of Congo
6. Ms. Sabdio Dido Bashuna – Gaborone, Botswana
7. Mr. Jeremy Nyamasyo Ndola- Juba, South Sudan
8. Mr. Jeremy Laibuttah -Khartoum, Sudan
9. Mr. George Macgoye – Djibouti, Djibouti
10. Ms. Joyce Khasimwa Mmaitsi – Luanda, Angola
11. Amb. Phillip Mundia Githiora- Maputo, Mozambique
12. Amb. Isaac Keen Parashina Abuja, Nigeria
13. Ms. Janet Mwawasi Oben – Kigali, Rwanda
14. Hon. Kiringo Kubai – Mogadishu, Somalia
15. Ms. Mercy Mueni Mutuku – Arusha, Tanzania
16. Mr. Abdi Weli Muhamad Hussein -Hargeisa, Somalia
17. Ms. Fouzia Abdirahman Abass – Bern, Switzerland
18. Amb. Betty Chebet Cherwon – Paris, France
19. Amb. Fredrick Musambili Matwan’ga – Rome, Italy
20. Amb. Angeline Kavindu – Stockholm, Sweden
21. Amb. Stella Orina – Berlin, Germany
22. Ms. Nairimas Sharon Ole Madrid, Spain
23. Mr. Maurice Makoloo – Vienna, Austria
24. Prof. Peter Ngure – UNESCO, Paris
25. Mr. Peter Munyiri – New Delhi, India
26. Prof. Emmy Jerono Kipsoi – Seoul, South Korea
27. Mr. John Ronald Ekitela – Kuala Lumpur, Malaysia
28. Dr. Wilson Kogo – Canberra, Australia
29. Mr. Mohamed Ramadhan Ruwange – Riyadh, Saudi Arabia
30. Lt. Gen Albert Kendagor -Geneva, Switzerland
31. Mr. Mohamed Nur Adan – Doha, Qatar
Kwa upande mwingine, Ruto pia alichagua Wakenya 14 kuchukua nafasi ya Manaibu Mabalozi. Wao ni pamoja na;
1. Amb. James Waweru – Geneva, Switzerland
2. Dr. Alome Kasera Achayo – Paris, France
3. Amb. Edwin Afande – London, United Kingdom
4. Ms. Valerie Rugene Berlin, Germany
5. Ms. Irene Maswan – Moscow, Russia
6. Mr. Daniel Cheruiyot Tanui – Brussels, Belgium
7. Mr. Anthony Mayo Ngugi – The Hague, Netherlands
8. Dr. Jayne Khasoa Luseneka – UNESCO, Paris
9. Mr. Moni Manyange – Ottawa, Canada
10. Ms. Terry Ramadhani – New Delhi, India
11. Ms. Lynette Mwendwa Ndile – Beijing, China
12. Amb. Jackline Moraa Kenani – Seoul, South Korea
13. Amb. Arthur Andambi – Tokyo, Japan
14. Mr. Daniel Mumina Nganda – Dubai, UAE
+ There are no comments
Add yours