SHEREHE ZA WATOTO ZANOGA MJINI TAVETA MSIMU HUU WA CHRISTMAS-SCALLY CREATION

Estimated read time 1 min read

Watoto watokea kwa wingi kusherekea Christmas mjini Taveta. Taveta kids and Teens festival iliandaliwa na Scally creation na ilianza jana. Sherehe hizo za watoto zitaendela hadi kesho kisha zitarudi tena tarehe 30 Dec, na itamalizika tarehe 1. Usikose kupeleka watoto wako wajumuike na wenzake. Kuna michezo mingi yenye mtoto atafurahia

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours