Kesi ya kupiga Sonko kuwania kiti cha ugavana Mombasa yaanza leo

Estimated read time 1 min read

Kesi iliyowakilishwa kwa koti ya Mombasa na wakaazi wawili, Ndoro Kayuga na George Odhiambo, kupitia wakili wao Willis Oluga, ya kupiga azma ya aliyekuwa gavana wa Nairobi, Mike Sonko, kugombania kiti cha ugavana Mombasa yaanza leo.

Wawili hao waliwakilisha kesi kwa mahakama kuu ya mombasa siku ya Jumatatu. chini ya cheti cha dharura. Jaji mativo aliagiza kesi hiyo isikizwe leo Jumatano kuanzia saa mbili asubuhi.

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours