Mchezaji wa PSG Kylian Mbappe amehakikishia mashabiki wake hasa wa klabu ya PSG kwamba atabakia kwa timu hiyo.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 alitangaza kwamba amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu na wababe hao wa Ufaransa na kukomesha uvumi wa kuwa alikuwa anahamia klabu ya Real Madrid.
+ There are no comments
Add yours