Sherehe ya kufunga mwaka ya wataveta inaendelea leo eneo la Njoro Taveta, Wakazi wa taveta wanaopenda utamanaduni pamoja na viongoji wanatarajiwa kufika. Sherehe kama hiyo huitwa LUTIMI kwa lugha ya kitaveta,
LUTIMI – 𝗦𝗛𝗘𝗥𝗘𝗛𝗘 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗙𝗨𝗡𝗚𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗞𝗔 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗩𝗘𝗧𝗔 𝗬𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗜𝗞𝗔 𝗡𝗝𝗢𝗥𝗢, TAVETA
Estimated read time
1 min read
You May Also Like
Wakili Bwire Super Cup Yarejea Rasmi.
September 7, 2024
Mtoto Ametelekezwa Katika Kituo Cha Soko Huko Taveta
January 12, 2024
+ There are no comments
Add yours