Makaburi ya Shakahola: Makaburi 58 zaidi yamegunduliwa

Estimated read time 1 min read

Miili 7 zaidi imefukiwa katika shamba la Shakahola. Makaburi 4 yamefukuliwa yakiwa na maiti Shakahola. Makaburi 26 yametambuliwa yakisubiriwa kufukuliwa

Jumla ya makaburi yaliyogunduliwa katika msingi wa kanisa la msitu wa Shakahola hivyo jumla ya 58 ambayo baadhi yao yamezikwa zaidi ya mtu mmoja.

Familia moja ya Nigeria inasemekana kupoteza watu sita katika dhehebu hilo la Good News International lenye makao yake mjini Malindi


Shughuli za dhehebu hilo lenye utata lililoongozwa na Mchungaji Paul Nthenge Mackenzie zilifichuliwa mapema mwezi huu wakati wanakijiji waliporipoti kutoweka kwa jamaa zao.

Kufikia sasa makaburi yaliyotambuliwa na hamsini na mawili

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours