Kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu ikiwa imesalia na mchezo mmoja kuchezwa
Dakika ya 86 Mchezaji wa Tottenham Hotspur Son alikosa nafasi ya Wazi ambayo ingefanya ubao usome Tottenham Hotspur 1-Manchester City 1 , Baada ya Son kukosa nafasi hiyo Pep Guardiola alianguka chini kwa hofu.
Lakini dakika ya 90 , Manchester City inapata Mkwaju wa Penati na kufunga bao kupitia kwa Erling Halaand na kufanya Ubao usome Tottenham Hotspur 0- Manchester City 2 .
Na Mchezo unamalizika hivyo na Manchester City anakaa juu ya Kilele cha Premier league huku Mashabiki wa Tottenham Hotspur wakiimba Nyimbo kwa Arsenal wakiwauliza ” ARSENAL MNAONA ” .
+ There are no comments
Add yours