Mheshimiwa Fundi Saleri ambaye pia ni mwakilishi wa kauti ndogo ya Bomeni, TaitaTaveta Leo amekutana na viongozi wa kikundi cha usimamizi wa ufuo cha Imbaria kinacho fanyia shughuli zake hapo Chala baharini baada ya kufuatilia na kuhakikisha mashua ya injini waliyoahidiwa na idara ya uvuvi ya kaunti ya TaitaTaveta limewafikia.
Tayari limeanza kazi ya kuwazungusha watalii wa ndani na inje kwa ada ambayo inawapa mapato ya kujikimu.
+ There are no comments
Add yours