INFOTRAK: Mbunge Nassir Ndiye Mwaniaji Wa Ugavana Mombasa Anayependekezwa Zaidi Kushinda Omar na Shabaal

Estimated read time 1 min read

Hon. Nassir, Abdullswamad Sheriff ndiye mwaniaji wa ugavana anayependekezwa zaidi na wananchi wa Mombasa kulingana na utafiti uliofanywa na shirika la infotrak.

Utafiti huo uliofanywa kati ya tarehe 9-12 Machi, ulionyesha kuwa Nassir anafurahia uungwaji mkono wa asilimia 48 na wakaazi wa Mombasa huku mfanyikazi Suleiman Shabaal akiwa wa pili na asilimia 18.

Muaniaji wa ugavana kupitia chama cha UDA, Hassan Omar akiwa wa tatu na asilimia 5.

Suleiman Shabaal anayetafuta tikiti ya odm atakabiliana na Nassir Sheriff

Mohammed Faki apendelewa kuwa senata wa kauti ya Mombasa kulinzana na utafiti

Image

Image

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours