“Naombeni Msamaha Nilikosea Kwa Kupiga YES” Mbunge Wa Taveta Mh. Bwire

Estimated read time 1 min read

Mbunge wa Taveta Mh. John Bwire amewaomba wakaazi wa Taveta msabaha kufuatia msimamo wake bungeni baada ya kuunga mkono mswada wa fedha wa mwaka wa 2024.

Mbunge huyo kupitia maneno yake alisema kuwa alikosea na aliomba msamaha kwani hakuna binadamu hawezi kosea.

Wakaazi wa Taveta na Wakenya nchi nzima walijitokeza kuandamana kupinga mswada huo wa fedha. Maadamano ambayo kwa mara ya kwanza katika historia ya Kenya ulijaa watu wengi zaidi kote nchini wengi wao wakiwa vijana.

Vipengele vya urekebishaji kwa mswada huyo wa fedha ulileta utata kwani ulinuia kuongeza ushuru zaidi kwa Wanaichi jambo ambalo walipinga zaidi.

Raisi William Ruto alikataa kupinga mswada huo akisema wananchi wameukataa

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours