MCA wa Mata, kaunti ya TaitaTaveta, Isaac Matolo, Jumamosi 5 Novemba alifanya sherehe ya shukrani kwa uchaguzi wake eneo la Kasarani, wadi ya Mata.
Baadhi ya viongozi waliojiunga naye ni gavana Andrew Mwadime, mwakilishi wa wanawake Lydia Haika, Mbunge wa Taveta John Bwire ikiwemo viongozi wengine.
Viongozi hao walikubaliana kufanya kazi pamoja bila kujali itikadi zao za kisiasa kwa manufaa makubwa ya Mwananchi.
+ There are no comments
Add yours