Mh. Isaac Matolo Ashinda Tuzo La MCA Bora TaitaTaveta

Estimated read time 1 min read

M.C.A wa kata ya Jipe Isaac Matolo achukua tuzo la MCA bora kaunti ya Taita Taveta.

Katika Tuzo hilo la Starleaders Award lilimjumuisha MCA huyo kuwa namba 15 nchini nzima kati ya MCA wachapa kazi kulingana na utafiti.

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours