Mjadala Wa Muguka, Miraa Wahamia Bungeni Mbunge wa Kilifi akiwasilisha notisi ya kupigwa marufuku

Estimated read time 1 min read

Mzozo iwapo mazao ya muguka na miraa yanafaa kwa matumizi ya binadamu sasa yamehamia Bungeni baada ya Mbunge wa Kilifi Kaskazini Owen Baya kuliomba Bunge la Kitaifa kutangaza mazao hayo mawili kuwa haramu.

Baya amewasilisha notisi kwa Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang’ula kurekebisha Sheria ya Mazao ya 2022 ili kufuta kanuni za Miraa, 2023.

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours