Mapya yaibuka! Mdada mmoja mjini Nairobi kwa jina la Sharon Oparanya amedakwa akiendesha gari aina ya Mercedes Benz akiwa amelewa mida ya asubuhi hivyo kushindwa hata kudhibiti uendesheji wake katika barabara ya umma.
Kana kwamba hiyo haitoshi, baada ya kuburutwa mahakamani hapo hapo mahakamani akauchapa usingizi wa pono na kuanza kukoroma mtindo mmoja ambapo mkoromo wa hali ya juu aliokuwa akiutoa ulimshtua hadi hakimu na kuwaacha watu midomo wazi mahakamani hapo
Hivyo, hakimu kuamuru akatupwe rumande kwanza hadi ijumaa hii ndio apande tena kizimbani kujibu mashitaka
Alikamatwa tarehe 22 september hii
+ There are no comments
Add yours