Mudavadi Kutoa Tamko Kuu Litakalo Sambaratisha Mazingira ya Siasa Nchini Wakati Wa Kongamano La Kitaifa La Wajumbe Wa ANC Tarehe 23 January, 2022

Estimated read time 1 min read

Kinara wa OKA Musalia Mudavadi amesema atatangaza mwelekeo wake siku ya Kongamano La Kitaifa La Wajumbe Wa ANC itakayao fanyika tarehe 23/10/2021.

Kiongozi wa chama cha Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi amewaambia wafuasi wake kuwa na subira kwani atatoa tangazo kubwa litakalo sambaratisha mazingira ya sasa ya siasa nchini. Musalia liyasema hayo alipohutubia wanahabari wakati wa mkutano katika kaunti ya Nyamira mnamo Jumapile Januari tarehe 16.

.
Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours