Mwanaisha Chidzuga Ateuliwa Naibu Msemaji Wa Serikali

Estimated read time 1 min read

Rais William Ruto alifanya mabadiliko makubwa katika serikali yake pamoja na kumteua aliyekuwa Seneta Mteule Isaac Mwaura kuwa Msemaji wa Serikali. Gabriel Muthuma na Mwanaisha Chidzuga waliteuliwa kuwa manaibu wa Mwaura.

Chidzuga, mtangazaji ametwikwa jukumu la kutoa usaidizi kwa Isaac Mwaura katika kuwasilisha sera na mipango ya serikali kwa umma kupitia njia mbalimbali za vyombo vya habari miongoni mwa majukumu mengine

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours