Mwili wa Hasmukh Patel, mwanzilishi wa kampuni ya saruji Mombasa Cement Limited kuchomwa leo kulingana na mila za kihindi
ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 58.
Patel aliaga dunia Alhamisi Agosti 29 saa saba alasiri baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Aliaga dunia akiwa na umri wa miaka 58.
Kulingana na msemaji wa familia Samir Bhalo, Patel alilalamika kuwa na maumivu ya tumbo siku mbili zilizopita. Alikimbizwa hospitalini Alhamisi ambapo alithibitishwa kufariki katika idara ya ajali ya dharura.
+ There are no comments
Add yours