Steven Sakeka Njumwa alimaarufu Mzee Savalanga ajitosa kwa Siasa kuwania kiti cha usenata kaunti ya TaitaTaveta.
Mzee Savalanga aliwahi kuwa mfanyikazi wa kauti ya TaitaTaveta na sasa anawania kiti hicho cha Usenetor. Anatarajiwa kusimama na chama cha UDA. Na endapo atashinda kura ya mchujo basi atakumbana na upinzani mkali kutoka kwa Johnes Mwashushe Mwaruma wa ODM na mwenye amekalia kiti hicho kwa sasa.
+ There are no comments
Add yours