Nahodha Wa Cameroon Vincent Aboubakar Arejea Kikosini

Estimated read time 1 min read

Nahodha wa timu ya Taifa ya Cameroon, Vincent Aboubakar ameanza mazoezi katika kikosi cha timu ya taifa ya Cameroon kwa ajili ya kujiandaa na mechi ya hatua ya 16 bora ya AFCON dhidi ya Nigeria itakayopigwa Jumamosi hii.

Mshambulizi huyo mzoefu wa Besiktas alipata jeraha la paja mapema mwezi huu na ilihofiwa hata kukosa AFCON. Alikosa mechi zote tatu za kundi la Cameroon kutokana na jeraha hilo.

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours