Man City imeshindwa kupata ushindi kwenye mchezo wake wa pili mfululizo wa Ligi kufuatia sare ya 1-1 dhidi ya wenyeji Newcastle United katika dimba la ‘St James’ Park.
FT: Newcastle 1-1 Man City
Gvadiol 35′
Gordon 57′
City wanasalia kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu England alama 14 baada ya mechi 6.
+ There are no comments
Add yours