NGOMA YA HARMONIZE AMELOA YAPIGWA QATAR !!! KOMBE LA DUNIA

Estimated read time 1 min read

Star wa bongo flava na CEO wa Record ya label ya Kondegang, msanii Harmonize, ameweza kupata shavu kubwa baada ya wimbo wake “Ameloa” kupigwa nchini Qatar kwenye viwanja vya mashindano ya kombe la dunia.

Harmonize anakuwa msanii wa pili barani afrika baada ya wimbo wa “Calm down’ wa msanii wa Nigeria heisrema kupewa airtime.

Harmonize ameshare video hio kwwnye insta story yake leo hii

Kwa habari nyingi zaidi jiunge nasi kwenye group letu la telegram 👉🏼 https://t.me/ngasumedia

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours