Wanariadha Faith Chepng’etich Kipyegon na Fednand Omanyala ndio washindi wa wanariadha bora nchini mwaka wa 2021 kwenye masindano ya Soya yaliyoandaliwa mjini Kakamega.
Umaarufu wa Omanyala uliongezeka baada ya kuvunja rekodi ya Afrika ya 100m
Mwanariasha mashuhuru Faith Chepng’etich Kipyegon na mshindi wa mbio za olimpiki za masafa ya mita 1500 pia alichanguliwa kuwa mshindi.
+ There are no comments
Add yours