OMAR BERRADA ATEULIWA KUWA MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA MANCHESTER UNITED

Estimated read time 1 min read

Man Utd imemteua aliyekuwa CEO wa Man City, Omar Berrada na kumfanya kuwa mtendaji wao mkuu mpya; Berrada anamrithi Richard Arnold aliyebwaga manyanga baada ujio wa Sir Jim Ratcliffe; Berrada amekuwa na mchango mkubwa katika mafanikio ya hivi majuzi ya City ndani na nje ya uwanja na pia amefanya kazi Barcelona

Ujio wa Berrada Manchester United ni pigo kwa upande wa pili wa Manchester city ikizingatiwa Mhispania huyo amefanya kazi kwa karibu na Pep Guardiola na amekuwa Mkuu wa Uendeshaji wa klabu ya Manchester City.

Taarifa ya Manchester City juu ya kuondoka kwa Berrada imesema :

“Manchester United inafuraha kutangaza uteuzi wa Omar Berrada kama Mkurugenzi Mtendaji wake mpya. Klabu imedhamiria kurudisha soka na utendaji uwanjani katika moyo wa kila kitu tunachofanya. Uteuzi wa Omar unawakilisha hatua ya kwanza katika safari hii

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours