Paolo Maldini – Tulimtaka Messi, Tukajaribu Tupate Saini Yake Lakini Tukashindwa

Estimated read time 1 min read

Mkurugenzi wa zamani wa AC, Milan Paolo Maldini, amekiri kuwa waliwahi kuwa na nia ya kumsajili Lionel Messi msimu uliopita wa joto lakini baada ya kujaribu kwa siku kumi ikashindikana.

“Tulijaribu kumsajili Leo Messi. Nilimtaka, tulimwita lakini baada ya siku 10 tulielewa na kujua kuwa haiwezekani.”

“Ni mchezaji mzuri sana, tulijaribu lakini haikuwezekana kwetu”

Share this post

You May Also Like

More From Author

+ There are no comments

Add yours