Kiongozi wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) Raila Amollo Odinga atembelea mkwe wake huko Kandara, kata ya Murang’a Jumamosi, Januari 29.
Waziri Mkuu wa zamani alikuwa akiandamana na mwanawe, Raila Odinga Junior Wakati wa ziara ya familia huko Kandara. Raila Odinga Junior, ameoa kwa hiyo familia ya mwanzilishi wa shule ya Riara.
Mama mkwe wa Raila Junior, Susan Gachukia, Gavena Wyclife Oparanya pia walikuwepo wakati wa ziara hiyo.
Babu wa Wambui (mkewe Raila Junior), Daniel Gachukia, mwenye miaja 93, na Eddah Gachukia, ambao ni waanzilishi wa Riara Group of Schools na Chuo Kikuu cha Riara pia walifanya kikao pamoja na kiongozi wa ODM. Wawili hao walibainisha kuwa walifurahi kupatana na Raila na kumkaribisha nyumbani kwao Kandara.
When a man marries a girl from a family.. he becomes a son . He is a son of Murang'a because he has married from there.. I am a son of Muranga and Baba is the muthoniwa .. pic.twitter.com/7yBArdDLLU
— Raila Odinga Junior (@Railajunior) January 29, 2022
+ There are no comments
Add yours